Mawaidha Ya Wasanii Mbali Mbali Kwa Kaa La Moto Kuhusu Kupumzika Mziki
Wiki iliyopita kuna habari zlizowashtua wengi saana Baada ya msanii wa hiphop, Kaa La Moto Kiumbe kutangaza kuacha mziki kwa mda. Huu ni uamuzi ambao uliwashtua wengi hadi kumpelekea CEO wa PWANI CELEBRITY AWARDS, Sanita Nzaro kumuandikia barua ya wazi msanii huyo kumsihi msanii huyo kurudi tena kwenye mziki.
Nimechukua mda na kujaribu kutafuta maoni kutoka kwa wasanii waliowahi kufanya kazi na msanii huyu kama vile Susumila, Vivonce, Mswazi Masauti pamoja na Producer ambaye amefanyia kazi zake nyingi Amz Wa Leo ambao kwa pamoja wametoa maoni yao pamoja na kumshauri KAA LA MOTO kuhusiana na uamuzi wake.
Mbali na wasanii hawa aliofanya kazi nao pia Escobar babake ambaye ni msanii aliyewahi kuwa kimya kufikia kiwango cha Kaa La Moto Kumchana katika baadhi ya nyimbo zake kuwa ameshuka kimuziki pia ameweka wazi mtazamo wake kuhusu maamuzi ya KAA LA MOTO pamoja na kumpa ushauri.
Je ni ushauri gani ambao wasanii hawa walimpatia Kaa La Moto? Escobar alichanwa mara kadhaa na Kaa La Moto kwenye baadhi ya nyimbo zake kuwa amepotea ana maoni gani kumhusu uamuzi wa KLM kwa sasa? Fuata link zilizo hapo chini kuwaskiza wasanii hawa.
HAPA au HAPA

Comments
Post a Comment