NEW MUSIC: Escobar Feat Kalicha - RIHOHO


Zee La Kugandamaiza au ukipenda ESCOBAR, hitmaker wa Wanataka Kunijua ambaye wiki jana alitangaza ya kwamba amewacha masomo ili arudi katika mziki mzima mzima ameachia track ambayo inatambulisha ujio wake mpya.
Escobar akiwa amemshirikisha Kalicha, ametayarishiwa track hii na Producer Noizer wa GreenHouse Records.
Liaten / Download HAPA au HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele