Nyota Ndogo Afunga Pingu Za Maisha **Picha Za Sherehe Hio**
Ni mkongwe katika tasnia ya mziki wa hapa Pwani. Amekua
katika fani ya mziki ya mziki kwa zaidi ya miaka 16. Hapo Jana, siku ya Jumapili iilikua siku ambayo
ataienzi kwenye kumbukumbu zake kwani aliwezza kufunga pingu za maisha na
mchumba wake wa miaka miwili, Nielsen
mwenye asili ya ki,dutch.
Sherehe hio ya Jumapili ndio ilikua kilele kwani ilikua imeanza siku ya jumamosi kwa
harusi iliyofanywa ki,Islamu na sherehe hio ya Jumapili ilifanyika katika mkahawa wa RoseWood Hotel, mjini Voi.
Ni sherehe iliyowezwa kuhudhuriwa na watu maarufu mbalimbali
haswa katika tasnia ya mziki kama vile Esther
ingolo, Sis Shaniez, Linnet Kanini, Hustla Jay, Johnny Skani, Beryl Kawere, Kaa La Moto, Amourey Beyby, Lil Guy G, Hassan
Faisal, Vivonce na wengine wengi.
Comments
Post a Comment