Prison Break Kurudi Tena ( Trailer )




Series ambao ilitokea kupendwa sana miaka ya nyuma kati ya mwaka wa 2005 na 2009, PRISON BREAK inatarajiwa kurudi tena mwaka ujao.
Fox wametangaza kwamba Prison Break itarudi tena na wahusika walewale waliokuwepo toka msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield ambaye alikua anakisiwwa ya kwamba ameaga dunia.
Hii hapa ni Trailer ya msimu ujao wa thamthilia hio.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele