Susumila Feat King Kaka-MAPEPE


Ni mmoja kati ya wasanii wanaopeperusha mziki wa pwani, yani ZIKI YA NAZI si kenya tu mbali Afrika Mashariki, Afrika n dunia nzima kwa ujumla ameachia hii mpya ambayo amemshirikisha King Kaka.
Ni video ambayo imekua ikisubiriwa kwa hamu sana toka wimbo wake uachiwe mwanzoni mwa mwaka huu. Ni wimbo ambao unaongelea kuhusu jinsi mabinti wa siku hizi wanavyochepuka.
Ni track ambayo ilitayarishwa na Producer Totti na video hii im,eandaliwa na Johnson Kyalo wa  Empire Filmz inayomilikiwa na King Kaka.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele