Hustla Jay Aeleza Iwapo HipHop Inalipa

Msanii hustla jay amefunguka na kupinga maadai kuwa Hip hop conscious hailipi.kulingana na hustla jay ni kwamba Hip Hop iko na utajiri mkubwa saana haswa ukifuata nguzo zake.  Hustla Jay amesisitiza kuwa mziki wa Hip hop unahitaji akili ya ziada kuufanya maana unakariri hali halisia ya maisha ya mtaani kupitia ujumbe wa yale mambo haswa yanayofanyika kwenye jamii.Je ni jinsi gani unaweza kujipatitia kipato kupitia mziki wa hip hop?


Kulingana na Jay ni kwamba nguzo za hip hop kama vile street fashion unaweza pata lectures mahali ukafunza,corporate shows pamoja na mauzo ya muziki kwenye mitandao,ujasiriamali kupitia hip hop pamoja na kujihusisha kwenye projects nyingi zinazoizunguka jamiii. 
Huyu hapa Hustla Jay akiizungumzia hip hop pamoja na miradi yake ikiwemo mradi wake wa hip hop and justice aliyomshirikisha jaji mkuu mstaafu Willy Mutunga.
Msikilize HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele