NEW MUSIC: Jay Madini- NYOTA YANGU
Jay Madini ni msanii kutoka Mombasa ambaye yuko chini ya management ya MainSwitch iliyopo Nairobi. Kando na kuwa katika management, Jay ana manager binafsi kwa jina Morris Mbetsa. Aliachia track yake ya kwanza mwishoni mwa mwaka jana kwa jina MY BABY na hii ni yake ya pili ikiwa inaitwa NYOTA YANGU.
Ni track ambayo imesimama vizuri, si utunzi, si sauti, hata producer ameitendea haki track hii. Kati ya track nzuri zinazovutia hisia huu mwaka hii hapa ni moja yao.
Download / Listen HERE or HERE
Ni track ambayo imesimama vizuri, si utunzi, si sauti, hata producer ameitendea haki track hii. Kati ya track nzuri zinazovutia hisia huu mwaka hii hapa ni moja yao.
Download / Listen HERE or HERE
Comments
Post a Comment