NEW MUSIC: Mamalao Feat Johhny Skani-SUMU KALI


Ni msanii wa hiphop kutoka Pwani ambaye anatisha sana kwa uwezo wake wakufoka na mistari yenye vinaa. Akiwa amemshirikisha mkongwe katika mziki hapa pwani, hitmaker wa Bembea, Johnny Skani, hii ni SUMU KALI, bonge la track leneye uzito lilioandaliw na Producer AMZ, Tempoz.
 Listen / Download HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele