NEW MUSIC; Mr Blue Feat AliKiba - MBOGA SABA
Vichwa viwili komavu vya bongofleva, Hitmaker wa Baki Na Mimi akiwa amemshirikisha star wa Aje wamekuja na hii mpya iliyotayarishwa na Producer Walter.
Hawa wawili siku zote hua hawa,disapoint kna kwa hili jiwe jipwa pia wametisha ile mbaiya.. Ebu iskilize HAPA

Comments
Post a Comment