NEW MUSIC: Yamoto Band Feat Ruby - SUU
Huu mwaka wamepunguza kazi sana ukilinganisha na mwaka jana ambapo walikua wanatoa track baada ya track. Band inayotamba sana Afrika Mashariki, Yamoto Band (Mkubwa Na Wanawe) wamevunja ukimya wao na track hii ambayo wamemshirikisha mrembo mkali wa sauti, hitmaker wa Forever, Ruby.
Ni track ambayo imeandaliwa na Producer wa Mkubwa Na Wanawe, producer mkali sana kutoka pwani ya Kenya ( Mombasa), Producer Shirko.
Download / Listen HERE
Comments
Post a Comment