NEW VIDEO: Zureya Feat Dogo Richy - WARIDI WANGU
Vipaji vipo hapa pwani, na Zureya ni mmoja kati ya waliojaaliwa na kipaji kikubwa. Akiwa amemshirikisha Dogo Richy, hii ni track ya kwanza ya aina ya salsa kuwahi kufanywa hapa pwani. Ni mkono wa Producer Emmy Dee. Ni video iliyoandaliwa na Johnson Kyalo.
Comments
Post a Comment