Producer Totti na Producer Tee Waongelea Kuhusu Awards Za Hapa Pwani.. Kunani?
Kila mtu anapofanya kazi nzuri hua anahisi vizuri pale anapotuzwa. Katika tasnia ya burudani hapa Pwani, tuzo ambazo zimekua zikiandaliwa zimekua zikipondwa sana kuliko kusifiwa. Watu wengi wamekua wakisema ya kwamba tuzo hizo hazina uwazi na zina mapendelea. Washika dau wengi wameshawahi kujiondoa katika tuzo kwa madai kua hawana imani nazo.
Je ni kipi ambacho waandaaji wa tuzo hizi hua wanakosea na ni kipi wanaweza kufanya ili kurudisha imani katika tuzo za hapa Pwani ili watu waweze kuzithamini na kua na imani nazo. Hawa hapa ni Producer Totti na Producer Tee wakifunguka kwa kina kuhusu mtazamo wao kwa tuzo za hapa Pwani.
Wasikilize HAPA



Comments
Post a Comment