Susumila Na Dazlah Wazozania Dancers



Ni wiki ambayo imekubwa na fununu za madai kuwa msanii Susumila amewachukua dancers kadhaa kutoka kwa kambi ya Chilemonde na kuwasajili katika lebo yake ya Mishemishe Music Empire. Inavyojulikana ni kwamba wasanii hawa wawili ni washkaji wa karibu kwa kipindi cha mda mrefu wakiwa wamefanya vizuri pamoja katika ushirikiano wa track zao mbili Bangereba Remix na Kidekide ambazo zimefanya vizuri saana. 


Je imekuaje kuaje mpaka Susumila akavuna kwenye shamba la Dazlah na kumchukulia dancers wake? Je ni kipi kilichowafanya dancers wakahamia Mishemishe Music Empire. Kuna ugomvi wowote kati ya kambi hizi mbili ama jamaa wamevurugana? Hawa hapa Susumila na Dazlah wasikilize wakifunguka kuhusu mzozo huu..
Wasikilize HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele