Wangenishirikisha, Yoyoba Remix Ingekua Kubwa- Producer Totti
Hisia mseto zinazidi kuibuka kuhusu remix ya Yoyobah Remix ya Dogo Richie na Calvo Mistari ambayo ilitoka juzi.Track hii ilizua gumzo katika mtandao na kauli mpya kwa sasa inatoka kwa producer wa yoyobah original Producer Totti ambaye ameweka wazi mtazamo wake kuhusu track hiyo.
ile copy yangu ndio ingekua remix kwa kua ndio ina nguvu zaidi, heri hii remix ndio ingekua origininal alafu ile yangu iwe remix kwa kua hii mpya imenimalizia idea yangu... Totti amefunguka.
Kulingana na Totti ni kwamba ngoma hiyo haijafikia hata kidogo viwango vya original track ambayo yeye ndio aliifanya...
"Mimi kwa upande wangu ninapofanya kazi natamani ile kazi iwe kubwa,hakuna mtu anayetaka kujihusisha katika jambo ambalo halina maendeleo sababu nilikua nategemea ile remix itakua kubwa coz ingekua kubwa ningefaidika,dogo angefaidika na hao pia wangefaidika lakini kazi ikienda ifike mahali iwe haisongi tunakua tumeanguka sote,so mimi pia nimelaumiwa nimepigiwa simu na watu wengi nikilaumiwa kuwa nimeharibu kazi"
Msikileze Totti akifunguka mengi HAPA
Comments
Post a Comment