Wasojali Band & Kelechi Africana- NITALIA NAWE ( Extended Version)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Hii hapa ni extended version ya video ya track ya Wasojali Band na Kelechi Africana ya video yao ya Nitalia Nawe. Ni version ambayo imetayarishwa na Beat Link.
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment