Je Wamjua ELPARAISO?



Neno ‘Elparaiso’  ni neon la kitaliano linalomaanisha pepo/paradise Ila hapa tunaongelea kuhusu model ambaye hafanyi kazi zake  hapa nchini tu ila pia amekua akisafiri katika nchi mbali mbali. Japo hajafikisha hata miaka 25, ‘Elparaiso’ anasema kwamba ana tofauti na wasichana na models wengi ambao hua wanaishi kutegemea ‘sponsors’  kwani yeye anakula na jasho lake.
Model huyu ambaye yuko kwenye mahusiano anasema anafurahi kwa kua na mtu anayemuelewa kazi yake kwani kusafiri kwake mara kwa mara ni changamoto.

‘kusema kweli kua ‘Elparaiso’ si rahisi ila mziki hunifariji sanasana nyimbo za Alikiba. Napenda sana kuangalia na kufuatilia sana na nashabikia Arsenal.
Unaweza kujua mengi zaidi kumhusu kupitia:
Twitter: Elparaiso
Instagram:  Elparaiso
Facebook: Luciel Parasio
Snapchat: Elparaiso

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele