Naishi Maisha Yangu, Sitafuti Kiki. Sis P Aeleza
Msanii Kutoka hapa Pwani, Sis P amesema kuwa haifai kamwe watu kumhukumu na ni jinsi gani anaishi maisha yake. Kulingana na Sis P ni kwamba mbali na yeye kuwa msanii yeye pia ni binadamu kama watu wengine......
"mimi sio mtu wa kujidanganya,..ido what i feel like doing,..am not just limited to certain things if u become too serious people will get bored".....Sis P Queen ni mmoja kati ya wasanii ambao kwa kipindi cha mda mrefu amekuwa akiandamwa na scandal baada ya scandal ikiwemo ya yeye kuwa na uhusiano na maproducer. Sis P Queen amefunguka mengi alipokua akifanya mahojiano na MtuBei.
Sis P ameongea mengi kwa kina kuhusu mahusiano yake na project yake na Dazlah. Msikilize HAPA
Comments
Post a Comment