NEW TRACK:CML-BAO NISHAFUNGA

CML aka SWENG BOSS ni msanii wa hiphop ambaye kwa sasa amekita kambi Tempoz, chini ya uangalizi wa Producer Amz. Ni msanii ambaye ukimskia akirap utajua wazi ana uwezo mkubwa ndani yake na ni mda mchache tu ataanza kupelekana bega kwa bega na wanahiphop wengine waliobobea. BAO NISHAFUNGA ndio track yake mbichi kabisa. Track ambayo imetayarishwa na Producer Amz... ipate HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele