Kwa mda wa takriban mwezi mmoja hitmaker wa
OYOO amekua akitangaza mwanzo wake mpya ambao atakua anaachia video na audio mpya na vilevile label mpya. Amekua akisema ya kwamba amemshirikisha msanii flani wa kike kutoka
Nairobi ila amekua akibana jina. Hatimaye hapo jana aliweka wazi kupitia ukurasa wake wa facebook ya kwamba kazi anayoiachia karibuni atakua memshirikisha
Avril.
Washa,shoot video hio na director
Rikky Bekko wa
BigDreams Media na hizi ni picha walipokua wanaanda video hio.
Picha kwa hisani ya EXPLODE AFRICA ( 0706013617)
Comments
Post a Comment