Rawbeena Aachia Video iliyomgharimu Nusu Milioni (NIPOZE)
Ni mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kazi na anajitolea sana kufanya kazi kwa video. Anajiita hustler kwa kua ni mtaftaji sana. Mwanzoni mwa mwezi huu, manager alidokeza ya kwamba walikua wamemaliza kutayarisha video ambayo ilikua imewagharimu Kshs. 500,000.
'Tumeamua kufanya video ya gharama kubwa kwa kua tunataka kazi yenye kiwacho cha mataifa si video ya kubahatisha' manager alinieleza. Video hio ambayo inatarajiwa kuteka anga za mziki imeandaliwa na Rikky Bekko wa BigDreams Media.
Comments
Post a Comment