Watu Wananielewa Vibaya.. Dazlah Aeleza


Star wa Kidekide, Dazlah Kiduche alishambulia mishale ya lawama na hata matusi kutoka kwa mashabiki wake hapo jana baada ya yeye kuweka picha ya poster tatanishi ya track mpya aliyofanya na Sis P. Kulingana na tukio zima kilichowaudhi mashabiki wake ni uamuzi wa wasanii hao wawili kuweka nguo ya ndani ya mwanamke katika poster hiyo jambo ambalo halikukera tu mashabiki wake bali hadi wasanii wenzake pamoja na wadau wakubwa wa sanaa. Wengi wanahisi kuwa Poster hio iko nje na maadili pamoja na kumdhalilisha mwanamke. Je Dazlah analizungumziaje sala zima?
Bonyeza HAPA kumsikiliza

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele