Aomba Msamaha Baada Ya Mpenzi Wake Kuona SexTape Yake



Si stori ya kweli bali ni kitu anachosimulia Kitole Kenda katika wimbo wake mpya wa DISMAIL. Jamaa aliachwa na mpenzi wake baada ya mpenzi huyo kutumiwa video ya mshkaji huyo akiwa na mchepuko wakifanya yao ya ndani. Katika wimbo huu jamaa anajaribu kuomba msamaha ili uhusiano urudi kama zamani baada ya kujitambua ya kwamba alikosa kumthamini mpenzi wake na kuchepuka. 
Akiachia wimbo huu Kitole ameeleza ya kwamba jinsi watoto wa shule za upili wanavyochoma shule kulimfanya kuandika wimbo huo kwani wanafunzi hao wanaweza kueleza malalamishi yako kupitia ‘suggestion boxes’ na mitandao ya kijamii na wakaskika na sio kwa kuchoma shule.
Pata hit hio mpya [[HAPA]] 
 NB; VibeCity Awards Mombasa zitafanyika hivi karibuni, na washabiki wanaoshiriki kupiga kura wanapata fursa ya kushinda airtime kati ya kshs.100 na kshs.1000. Washindi 10 kila siku kwa kupiga kura [HAPA]

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele