Nyota Ndogo Aeleza Kwanini Aliolewa Na Mzungu
Mbali na make up ya mwimbaji huyo wa Watu na viatu kua gumzo mitandaoni na katika vyombo vya habari baada ya picha za harusi kuachiwa, wengi pia walisemasema kuhusu mumewe Nyota Ndogo, Henning Nielsen kwa kua ni mzungu.
Wengi walisema ya kwamba amemzidi umri, wengine wakasema ya kwamba ameolewa na mzungu kisa pesa.... Hapo jana Kelvin Jilani/MTU BEI akijitayarisha kufanya mahojiano na Nyota Ndogo aliwapa fursa mashabiki wamtupie maswali star huyo na shabiki mmoja, Erico Mbiko Allardyc alitupia swali akiuliza "mbona aliamua kuoa ngozi nyeupe?"..
'Nilikua single kwa mda na wakati huo wote haun aliyeomba kunivisha pete. Ku,date nilidate na hata kuzalishwa lakini hata mmoja hakuna aliyesema will you marry me. Huyu baada ya kujuana naye kwa mda wa miaka miwili akaomba kunivisha pete, mbona nikatae? Nyota alieleza katika mahojiano hayo ambayo amesema mengi kwa kina kuhusu ndoa na mipango yake na Nielsen [ HAPA ]
NB; VibeCity Awards Mombasa zitafanyika hivi karibuni, na washabiki wanaoshiriki kupiga kura wanapata fursa ya kushinda airtime kati ya kshs.100 na kshs.1000. Washindi 10 kila siku kwa kupiga kura [HAPA]
Comments
Post a Comment