Aachia Video Iliyomgharimu Laki Tatu
Baada ya kuachia wimbo mpya mpya wiki moja iliyopita, Dizzle sasa amekuja na video ya track yake hio ya pili baada ya kurudi katika mziki.
Video hio ambayo iliandalaiwa na Director X Antonio ilimgharimu msanii huyu zaidi ya Kshs 300,000. 'Niliamua nigharamike kwa sababu nilikua nataka kitu cha uhahika, mziki umebadilika na lazima kama mtu anataka kutoboa basi hafai kufanya vitu kikawaida' Dizzle ameeleza.
Akifafanua zaidi kuhusu gharama hizo za video hio, Dizzle amesema ya kwamba aligharamia kila kitu katika video kuanzia location hadi mavazi ya walishirikishwa. Nguo ambazo zilivaliwa na kila mtu alizinunua yeye kwa kua alikua anataka muonekano mzuri katika video yake. Vixens waliotumika katika vdeo pia waligharamiwa usafiri wao kutoka maeneo mbalimbali wakiwa wametoka Malindi, Mombasa na Nairobi. Vilevile vixens hao hawakua wanauza sura tu katika video hio bali walikua kazi hivyo basi ilibidi walipwe vizuri iliwafanye kazi yao vizuri. Itazame video hio hapa chini...

Comments
Post a Comment