Aah! Kumbe Hata Archy Kawere Aliimbiwa Wimbo Na Iddi Singer
Zile fununu za Archy Kawere kutoka na msanii Iddi Singer zinadiki kupewa uhai kila kukuona.
Baada ya ukaribu wao kua gumzo hadi watu kushuku ya kwamba wawili hao zile 'bae' na 'beib' zao si za mitandaoni tu kumefichuka ya kwamba wimbo mpya wa Iddi Singer ametungiwa mwanadada huyo.
Nimemtafta Iddi Singer kumuuliza kuhusu uvumi huu na ana haya ya kusema 'ukiskia huo wimbo waona Je....., yeye au waonaje?'... Swali ambalo mimi binafsi nimeshindwa kulijibu labda nikutupie wewe msomaji unisaidie kupata jibu katika wimbo wenyewe ambao unaweza kuupatata katika mabano yafuatayo [[WIMBO ANAUPATA UKIBONYEZA HAPA]]

Haya kazi kwao letu ni jicho tu!
ReplyDelete