Aanza Tena Mziki Baada Ya Track Zake 6 Za Kwanza Kubuma
Ni msanii ambaye anakuja vizuri na style ya hiphop. Ni mgeni katika sanaa ila si kwa sana kwani ashawahi fanya track sita ila zote amezitupia kapuni na kuanza upya.
Hio ni baada ya kuona ya kwamba alikua anafanya mziki kikawaida sana na mda umebadilika. Akiachia track hii mpya aliyomshirikisha Producer wake Jimmy Ngalla, CHIBO D alisema ya kwamba anahesabu track hii kama ya kwanza kwani track alizofanya mbeleni alikua amezifanya kiholelaholela na asingefinga kokote ila kwa sasa safari yake ndio imeanza na wimbo huoa alioufanya katika studio za Frere Town Studio. upate [[HAPA]]

Comments
Post a Comment