Coast Most Expensive Model
Ukihitajika utaje wanamitindo waliobobewa katika taaluma hio kutoka pwani listi yako haiwezi kuwa kamili iwapo itakosa mmiliki wa Fuschia Creativity.
Ni mwanamitindo ambaye amekua katika industry kwa mda mrefu sana na kampuni yake ya Fuschia Creativity ndio iliyowafunza uanamitindo watu maarufu kama vile Anita Nzaro, Ruthalia Michaels, Catherine Mage, Sandra Shantel na wengine wengi.
Dya Candy kama anavyojulikana ni mwanamitindo ghali zaidi katika eneo la pwani. Mwanamitindo huyu ambaye ili kuweza kumshirikisha katika kazi zako, lazima uwe una mkwanja mrefu na pia kazi zako ziwe na viwango vya kueleweka. Dya ambaye amebobea katika mambo ya vipodozi anamekua akipondoa washirikia katika vipindi mbali mbali kama vile NIRA, KELELE FM na kadhalika. Vilevile Dya ndiye mhusika mkuu katika mavazi ya co-host wa Mseto EA, Anita Nzaro.
'Hivyo basi, kama una nia ya kufanya kazi na top model huyu unafaa uwe umejiandaa si haba. Unaweza mpata Dya katika mtandao wa facebook ukibonyeza [[ Dya Candy Facebook ]] na Instagram ni kwenye mabano haya>>>[[HAPA ]]
Ni mwanamitindo ambaye amekua katika industry kwa mda mrefu sana na kampuni yake ya Fuschia Creativity ndio iliyowafunza uanamitindo watu maarufu kama vile Anita Nzaro, Ruthalia Michaels, Catherine Mage, Sandra Shantel na wengine wengi.
Dya Candy kama anavyojulikana ni mwanamitindo ghali zaidi katika eneo la pwani. Mwanamitindo huyu ambaye ili kuweza kumshirikisha katika kazi zako, lazima uwe una mkwanja mrefu na pia kazi zako ziwe na viwango vya kueleweka. Dya ambaye amebobea katika mambo ya vipodozi anamekua akipondoa washirikia katika vipindi mbali mbali kama vile NIRA, KELELE FM na kadhalika. Vilevile Dya ndiye mhusika mkuu katika mavazi ya co-host wa Mseto EA, Anita Nzaro.
Benso, Daddy Owen na BigPin ni baadhi ya wasanii ambao amefanya kazi nao katika siku za hivi karibuni.
'Katika hii kazi lazimu ujue kuji,brand au bila hivyo utabaki kulia njaa na kutumiwa au kuishia kutegemea ma,sponsor. Nashkuru experience yangu katika industry imenifanya nimejua mengi na najitegemea na wengine pia wananitegemea. Nafanya kazi na watu au kampuni serious peke yake, kama mtu hataki ku,invest katika quality ya kazi basi si mimi tu lakini hata wale ninao,manage siwezi ruhusu afanye nao kazi.' Dya ameeleza huku akifunguka zaidi na kusema ya kwamba katika mda wa miezi miwili amekataa kushiriki katika video tisa na kukataa offer za kampuni nne kwa sababu hawakua wamejipanga vizuri.'Hivyo basi, kama una nia ya kufanya kazi na top model huyu unafaa uwe umejiandaa si haba. Unaweza mpata Dya katika mtandao wa facebook ukibonyeza [[ Dya Candy Facebook ]] na Instagram ni kwenye mabano haya>>>[[HAPA ]]
Comments
Post a Comment