Escobar Ataja Wanaom'bania Asipate Shows
Msanii ambaye alikua amepotea sana katika sanaa kwa mda mrefu na sasa amerudi akipambana arudi mahali alipokua amefunguka na kusema kinachomfanya yeye kukosekana katika tamasha kubwakubwa.
'Jiulize ni kwanini Chikuzee alikua akipiga show za kaunti alipokua na Susumila na walipokosana hapewi tena zile show... Vile vile Kigoto hapigi show, Kidis naye pia' Escobar amesema.
Akiongea ndani ya kipindi cha chachawiza Bahari FM kwenye mahojiano na Pascal Shanga na Farida Ali, Escobar amesema kuwa kuna kundi la watu ambalo linadhibiti industry ya matamasha pwani.
Kulingana na Escobar ni kwamba ili kupata shows kubwa za makampuni ni lazima uhakikishe unajenga urafiki na kundi hilo la sivyo utaambulia patupu. Katika mchakato huu, Escobar ametoa mfano wa wasanii kama vile Kidis, Kigoto na Chikuzee kama baadhi ya wale walioathirika pakubwa na hali hii. Kuskiza jinsi Escobar alivyofunguka kwa kina katika mahojiano hayo [[BONYEZA KATIKA MANENO HAYA]]

Hiyo hua iko kila mahali sio kwa Pwani peke yake ila riziki agawae ni Mola pekee... mwanadamu ataichelewesha tu ila wakati wake hakuna wa kuizuia maana ni kama Maji ya Mto huvunja hata kingo zake ili mradi yapite!!! Msikate Tamaa.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete