Is Archy Kawere Cheating With An Upcoming Singer?

Katikati siku za hivi karibu  kumekua na minong'ono ya kwamba huenda mke wa mwanamziki mkongwe hapa pwani Archy Kawere,  akiwa anacheza mechi za nje na msanii chipukizi anayekua kwa kasi,  hit maker wa NI WEWE,  Iddi Singer.

Uvumi huo umeletwa na ukaribu ambao wawili hao wamekua nao katika siku za hivi karibuni kwani wamekua wakionekana katika mikahawa mbalimbali wakiwa pamoja. Isitoshe, wamewahi kufanya photoshoot pamoja mara kadhaa na hata mwishoni mwa wiki jana, siku ya Jumamosi, wawili hao waliandamana wakati msanii huyo alipokua anaenda katikati shooting ya kipindi cha Mseto EA ambako walionekana katika mapozi tatanishi   na pia kuitana majina ya mapenzi na kubembelezana kama vile Bae na beib mitandaoni.
Nikimuuliza  Archy  kuhusu  uvumi huu amejibu  na kusema ya kwamba nimuulize swali hilo mwishoni mwa wiki.Naye Iddi nilipomuuliza kuhusu swala hilo alisema ya kwamba hajibu swali lolote isipokua maswali yanayohusu mziki wake.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele