Je Producer Amz Ana Beef Na Susumila Kwa Sababu Ya Wimbo 'Ngoma Imezima' ?
Kama umechunguza kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, Producer Amz
amekua aki update list ya nyimbo ambazo alikua amepanga kuzitoa mwaka
huu na moja wapo wa nyimbo hizi ilikuwepo "NGOMA IMEZIMA" ya
Sususmila. Cha kushangaza ni kwamba wiki moja iliyopita Susumila ali,release Poster iliyoonyesha kuwa anaachilia track
inayoitwa Ngoma Imezima ambayo kulingana na ujumbe wa poster ni kwamba
imefanywa na Producer Totti, Kay G Records. Fununu zilitambaa kwamba hatua ya Susumila kutoa
poster hiyo ilimkasirisha Amz kufikia hatua ya yeye kutoka kwa group ya
whattsap ya 'Wachawi International.'
Ili kutaka kujua ukweli, MTU BEI aliamua kumtafuta Producer Amz ambaye alifunguka kila kitu, Je ni kweli ya kwamba Amz yuko na beef na Susumila? Ebu sikiliza Amz akifunguka zaidi kuhusu issue hio katika link ifuatayo>> BONYEZA HAPA
Ili kutaka kujua ukweli, MTU BEI aliamua kumtafuta Producer Amz ambaye alifunguka kila kitu, Je ni kweli ya kwamba Amz yuko na beef na Susumila? Ebu sikiliza Amz akifunguka zaidi kuhusu issue hio katika link ifuatayo>> BONYEZA HAPA
Hapo sisemi kitu maana kutokana na Msanii pengine wimbo huo haukufikia hadhi anayotaka.so akaamua kwenda kutafuta utamu zaidi kwa mtayarishi mwengine,lkn hiyo si issue kubwa kama ni Tee Hits yeye hua yuapenda kushirikiana na wenzake.so haingekua issue kwake!!!
ReplyDeleteI see it as lack respect to the first producer who originally did it, it could have been better if the two had discussed the issue of releasing the song via another stable.
ReplyDeleteNi kama kupika chakula kitamu alafu chakula kipelekwa na asiyekuwa mpishi kulisha wageni.
Then wageni wanamsifu vile anajua kupika.
Taking credit on what is not rightfully yours.