NEW MUSIC: Wasojali Band - WACHA WASEME
Video yao ya AUMBORA, iko [[HAPA]] bado inavurugavuruga anga za mziki na watu bado hawajapumua tayari vijana haw waliochini ya uangalizi wa Kubwa Entertainment wameangusha pini jipya.
Wameonyesha uwezo mkubwa wa utunzi na sauti si haba, alafu producer Noizer wa GreenHouse RTecords ameitendea haki track hii ambayo unaweza kuipata [[HAPA]]
Wameonyesha uwezo mkubwa wa utunzi na sauti si haba, alafu producer Noizer wa GreenHouse RTecords ameitendea haki track hii ambayo unaweza kuipata [[HAPA]]
Comments
Post a Comment