Wasanii 9 Wa HipHop Waweka Mbali Beef Zao Na Kuachia Collabo Hii

Ni juzijuzi tu ndiuo Nyota Ndogo alisimulia jinsi beef za wasanii wa hiphop walivyotimua collabo ambaye alikua amepanga kati yake, wasaniii hao na msanii mkongwe wa bongo, Afande SelleISOME HAPA ] kwani nusura wengine walimane makonde.
Producer mkali, Amz ameweza kufanya jambo hilo gumu ambalo limekua likiwashinda wengi, kuwaweka wasanii wanaoshindana na wasioelewana katika track moja. Aliwezaje?
Hadi ilipoachiwa, hakuna msanii hata mmoja ambaye alikua anajua ni msanii yupi mwengine atakua katika track hio. Yani ilikua ni siri ya Amz pekee ya kua ni nani na nani walikua watakua katika track hio kwani hakuna kati yao aliyeskia kilichorekodiwa hadi siku ya kuachia waimbo huu.
Track hii ambayo imesheheni vichwa vikali vya hiphop toka pwani-  Kaa La Moto, Johnny Skani, HustlaJay, FikraTeule, Ohms Law Montana, Odinareh Bingwa, MamaLao, Rojo Mo,  na K Lama ni wimbo ambao ni wa Amz alioufanya 2008 alafu baadae akaifanya na mwanadada Judy Mose 2009 version zote mbili bila kua na chorus.
Na sasa ameirudia na wasanii hawa wakale bila chorus bado, yani kuchana tu...Ebu skiza walivyofoka [[ HAPA]].

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele