Baada Ya Kulilia Wasanii Walipwe, Benso Anakuja Na Hii Akiwa Na Kigoto
Ni takriban tu mwezi mmoja baada ya kuachia wimbo huo, PRISK (Performers' Rights Society of Kenya) ilitangaza ya kwamba itagawanya Milioni Kshs28 kwa wasanii na waigizaji ikiwa ni malipo ya hati zilizokusanywa kufikia Disemba31,2015.
Pengine huo ndio msukumo wa wimbo huo ulipofika, BENSO anajipanga kuachia wimbo na video mpya mwishoni mwa wiki hii. Project hio ambayo amewashirikisha Kigoto na GeeGee nakuandaliwa na Producer BEATSBOYinaitwa KARIBUMOMBASA.Wimbo ambao unaongelea uzuri wa mji wa Mombasa na haswaa kua kivutio cha utalii.
Anachoongelea zaidi katika wimbo huo mpya ni mandhari mazuri ya mji wa Mombasa, vyakula vizurii, utamatuduni na ukarimu wa wenyeji wa Mombasa. Ni wimbo ambao utapatkana bure kuu,download tofauti na nyimbo zingine ambazo hua mtu anazilipia.
Comments
Post a Comment