NEW MUSIC: Shield Feat Lungoz-MAUMIVU

Hapa Pwani kuna chipukizi wengi wanajifua kufanya mziki mzuri, nakujifua kwa nguvu angalau watoke na waskike mpaka sanaa nayo ije iwalipe. Shield ni mmoja ya wasanii ambao wanachipuka na amekua kwenye sanaa kwa kiasi cha haja. Chini ya uangalizi wa Producer Emmy Dee amewahi kufanya track kadhaa ila hajabahatika kupenya vizuri.

Hii mpya ameshirikiana na Lungoz ambaye ndio kwanza anaanza. Ni kazi iliyotayarishwa na Producer mkali kutoka pande zile za Likoni, Producer Morbiz wa ThunderSounds Records. Mziki huu wao mzuri unahitaji support yako na utaweza kuupata>>HAPA
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele