Sis P Aongelea Kuhusu Picha Za Nusu Uchi Anazoziweka Mitandaoni
Baada ya kuachia picha tata na kuzua gumzo siku ya 'no bra day' ,msanii Sis
P amefunguka na kusema kuwa picha hiyo ilikua na kigezo kikubwa cha
kuhamasisha umma kuhusu saratani ya matiti.
Picha hiyo sio ya kwanza maana katika siku za nyuma msanii huyu amekua akiachilia picha tata kilele kikiwa ni video yake na dazlah iliyozua gumzo na kashfa nyingi kutoka kwa wadau na mashabiki wa mziki.
Kulingana na Sis P ni kwamba yeye hajifungi anaishi maisha yae na kamwe hatawahi kuwa mnafiki katika maisha yake na ataendelea kufanya kile anachojiskia kufanya.
''....am just being me i dont plan controvercies,am that person ambaye sijifungi,if i have a feeling i will just express it..kwenye social media hakuna under18 na kama mtu anaona kitu ni kibaya basi hii society ya sasa hakuna kudanganyana na hakuna kitu kipya kwa sababu kila kitu kishafanywa na mimi si mwalimu sifundishi watu, anayetaka kufundishwa aende shule" Msanii huyo ambaye amekua nominated katika category ya Best Female Artiste Of The Year, Pwani Celebrity Awards2016 aliyasema hayo katika mahojiano yake na Kelvin Jilani/Mtu Bei >>HAPA

Comments
Post a Comment