Susumila Aachia Video Ya Watu Wazima Pekee

Susumila kaka Mr. newsmaker, jamaa ambaye kila uchao hakosi jipya la kuongelewa, kama si madai ya uchawi basi ni kuoa kwa ghafla, kama si kutalakiana basi nikupelekwa kortini na exwife.
Baada ya kufanya bonge la collabo na mrembo kutoka kaunti ya Kidero, Avril aliachia solo project yake ya NGOMA IMEZIMA, track ambayo aliiandaa kwa Producer Totti lakini idea yenyewe aliinunua kwa msanii Bizzy Key kwa Kshs,50,000 na video yenyewe imetayarishwa na Ricky Bekko wa BigDreams Media.

Tofauti na video zake za awali, video hii nitofauti kabisa kwani imelengwa watu wazima pekee,waliozaidi ya miaka18...si jinsi wanenguaji walivyo vaa tu bali hata wanavyojiachia..kama wewe ni mtoto basi kaa mbali na video hii kwani huenda ukapofuka, lakini kama umri unakuruhusu basi itazame hapa chini....

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele