Amshirikisha Kidis Katika Hii Mpya Baada Ya Kimya Cha Mwaka Mmoja
Aliachia wimbo wake wa mwisho 2015 na baadae kukaa kimya. Si kwamba mziki ulikua umemshinda ila alikua anajitafta na kupanga mbinu za kujiweka vizuri katika ramani ya mziki. Baada ya kimya hicho, Babza amevunja ukimya na TUWAPIGE BAO, track ambayo amemshirikisha Kidis The Jembe na ni mkono wa Producer TK2, Number 1 Records. Kua Wa kwanza kuskia wimbo huo >>HAPA
Comments
Post a Comment