Baada Ya Kupata Ufadhili Mpya, WAKASI wamerudi Tena Katika Sanaa Na Hii Mpya
Wakasi ni mandugu walofatana, Abubakar Kitole(Safa) na Robert Mwadzidze(Roy) kutoka Kilifi. Walianza safari ya mziki mwaka wa 2010 mjini Malindi studio ya Terrbyte. Wameshawahi kufanya nyimbo kadha lakini hazikufanya vizuri kwa sababu ya kukosa ubora wa kiwango cha chini cha nyimbo hizo. Licha ya kutoka kwenye familia yenye hadhi ya chini lakini wamejaribu kueneza ujumbe wenye umuhimu katika jamii. Wamewahi kupewa ufadhili fulani ambao haukudumu kwa muda kwa sababu haukua unamuelekeo mzuri wa kuwanufaisha lakini baadae mwaka wa 2015 ndio walipata na Joseph Lewa mmoja wa shirika linalo toa ufadhili kwa mambo ya kimaisha ya kila siku kama elimu, talanta, magojwa ambaye aliamua kujitolea kuanza kuwapa support na kuendeleza safafri yao ya mziki na kuwapa uwezo wa kufanya track hii mpya katika studio za Tee Hits. Kua wa kwanza kupata wimbo mpya wa MAPENZI MATAMU >>;HAPA
nakubali boss
ReplyDelete