Baada Ya Willy Paul Na Size8 Kuja Na TW, Boss Kleva Naye Aja Na Yake
Kwa siku tatu sasa, Willy Paul na Size8 wamekua gumzo sana baada ya kuachia video ya mpya ya TIGA WANA. Watu wamesifu sana ubora wa kazi hio ila pia kuiponda kwa kusema ya kwamba haikai ki,injili hata kidogo.
Tukisalia katika sana ya mziki wa injili, hapa pwani kuna msanii Boss Kleva ambaye awali alikua akiijiita Bossyre lakini akabadilisha jina na kujiita Boss Kleva, ikiwa 'Boss' ni kutoka kwa jina lake ya Bosire na 'Kleva' kutoka jina lake pia la Clever. Ni msanii anayefanya mziki wa injili aina ya lingala na ameatuandalia video hii mpya ya Merci Nzambe (Asante Mungu) kwa ushirikiano wa producer tajika wa mziki wa injili, Dr. Eddie wa Dreamland Music Entertainment. Je ameweza kufikisha ujumbe wa injili au pia naye ameolea katika boti kama lile ya #TW.... hebu itazame hapa chini....

Comments
Post a Comment