**Exclusive** Yaliyopangwa Kufanyika Stylus DJs Awards

 
Toleo la nne la tuzo za Stylus Djs Awards zimepangwa kufanyika siku ya 10 ya mwezi wa Disemba.Ni tuzo kubwa nchini kwani ndio tuzo za kwanza Afrika nzima za Djs tu zikifuatwa na Ghana Djs Awards ambazo zilianza 2015.

Wakati mashabiki wakiendelea kupigia kura madj kupitia mtandao wa tuzo hizo HAPA waandalizi wa tuzo hizo wako mbioni kuhakikisha ya kwamba tamasha ya tuzo hizo litakua lakufana sanaaa. Kabla waandalizi wa tuzo hizo kupeana mipangilio halisi vya jinsi tamasha hilo litakavyokua, nimeweza kufanikiwa kupata habari za ndani ya kipi kilichopangwa kufanyika katika tuzo hizo...

-Eneo la tukio litakua Mamba Village Centre, Nyali kuanzia saa kumi na mbili jioni (6pm).
-Setup za Djs haitakua moja wala mbili, lakini tatu....hio  ina maana ya kua mziki utakua uko  nyumbani,  ku,switch  kutoka dj mmoja hadi  mwingine  ni rahisi bila mushkili na djs watakao tumbuizaa siku hio ni DJ Dolla Papi, DJ Dennis na kundi la Ultimate Djs.
-Kando na mziki kutoka  kwa Djs , kutakua na performance za wasanii ambao watakua ni  Wasojali  Band, Ohms  Law Montana, XAV  Gang, Raw G, Jovial, Frankie Dee na surprise artiste wawili kutoka Nairobi.
-MC wa siku atakua  mwanamziki, muigizaji na mchekeshaji Chapatizo na mtangazaji Dee aka Presenter001.
-Kiingilio itakua Kshs.500 tu!!!
-Kwa wale ambao hawataweza kushuhudia live   tukio hilo wataweza kutaza matamasha hilo kupitia runinga ya TripleP, ambayo inapatkana kupitia Startimes na Signet.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele