Hii Ndio App Ya Kisasa Ambayo Hufai Kukosa Katika Simu Yako
Simu za kisasa zimekua zikizidi kurahisisha kazi na maisha kila uchao. Moja ya vitu ambavyo vimekua vikiwezesha urahisi wa maisha kupitia simu za kisasa ni 'apps'. Kwa mfano, app ya uber ambayo imerahisisha katika usafiri.
Ni app ambayo inawezesha kupata kile utakacho kwa urahisi. Nikohub inaweza mtumiiazi kuletewa chakula, nguo, movie, vipodozi, vinywaji mlangoni kwake.
Ni app ambayo inajumuisha mauzaji wa bidhaa na huduma kadhaa kutoka maeneno mbalimbali hapa nchini. Watumiiaji wa Nikohub pia wanaweza ku,share picha kile walichoweza kukipata kupitia app hio kwa watumiaji wengine.
Pengine ni huduma flani unatafuta na hujui utaipataje, Nikohub inakurahisishia kwani kulingana na mahala ulipo, utapewa options kadhaa wa jina na umbali wa kutoka ulipo hadi unapoweza kupata huduma hio kupitia simu yako tu. Isitoshe, kila wakati mtumiaji wa app hio anapoitumia kununua bidhaa au huduma, anapata points ambazo ataweza kuzitumia kupata discount katika ununuzi wake baadae. Kupata app hio babkubwa, bonyeza >> HAPA
Comments
Post a Comment