Hiki Ndicho Queen Renee Alichorudi Nacho Kutoka Tour Yake Nchini Ujerumani
Mwaka ukianza, Queen Renee ali,launch album yake ya KAMATA CHAMPAGNE baada ya kumaliza tour yake ya miezi mitatu nchini Ujerumani na Switzerland. Amekua akiachia project kila mwezi tangu Februari, kama si video basi ni audio kutoka kwa album yake hio kabla kuenda kwa tour nyengine ya mwezi mmoja kuanzia mwezi wa October. Queen Renee ametua nyumbani na amekuja na project mpya ikiwa bado ni muendelezo wa album yake hio ya KAMATA CHAMPAGNE. Kabla hata kuchezwa katika kituo chochote ha redio, umebahatika kuwa kati ya watu wa kwanza kupata wimbo huo uliotayarishwa na Producer Akeem.. Ipate>>HAPA
Comments
Post a Comment