Producer Totti Aeleza Wanachokifanya Ma,Producer 6 Walioungana
Baadi ya ma,producer nguli Mombasa wakiwemo
Teknixx, Amz, Tk2, Emmy Dee, Totti na Khalid hivi majuzi wameamua kuja na wazo la
kuungana ili kuwa na maandamano ya kimawazo na kutayarisha kazi kadhaa
pamoja.
Kulingana na Totti ambaye ni mmoja kati ya maproducer hao ni kwamba, kila producer atachagua msanii kutoka kwa studio yake na kwa pamoja watakalia projects kadhaa za wasanii hao kwa lengo kubwa la kuleta mawazo pamoja na kutoa kazi nzuri.
"Mashabiki kwa sasa wamegawanyika, kuna mashabiki wa studio flani na kuna mashabiki wa studio nyengine ndio tukaona tuje pamoja ili tuunganishe mashabiki wa studio mbalimbali... Tunachagua msanii flani kutoka studio flani alafu mwingine kwa studio nyingine alafu tunaona hawa wanaweza fanya hii style wanapiga." Totti ameeliza. Msikilize Producer Totti akiwataja baadhi ya wasanii ambao tayari wako kwenye mpango huo >> HAPA

Comments
Post a Comment