Ratba Ya Ligi Kuu Ya Soka England Wikendi Hii


Ni wiki ya kumi na mbili ya Ligi kuu ya soka nchini England. Kando na mechi inayosubiriwa kwa hamu na ghamu ambapo Manchester United watakua watakua wenyeji wa mahasimu wao wa mda mrefu na Arsenal, hii hapa ndio ratba kamili ya Ligi hio kwa saa za Afrika Mashariki.
 Sat 19/11/16


Manchester United 3 : 30pm Arsenal



Crystal Palace 6 : 00pm Manchester City



Everton 6 : 00pm Swansea City



Southampton 6 : 00pm Liverpool



Stoke City 6 : 00pm AFC Bournemouth



Sunderland 6 : 00pm Hull City


Watford 6: 00pm Leicester City



Tottenham Hotspur 8 : 30pm West Ham United


Sun 20/11/16 Middlesbrough 7 : 00pm Chelsea

Mon 21/11/16 West Bromwich … 11 : 00pm Burnley

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele