Chikuzee Na Susumila Waelezea Uhusiano Wao Baada Ya Kupiga Show Pamoja
Combination ya wasanii hawa wawili wakubwa ni combination ambayo hua imekubalika sana. Track zote mbili ambazo walizifanya pamoja zilitokea kua hits. Urafiki wao ulikua wa mda kwani baadae walianza kua na tofauti wakati ambao hata mashbiki walikua wanatamani wawili hawa waunde kundi.
Siku ya 'Boxing Day' wawili hao wali,surprise mashabiki mjini Malindi baada ya ku,perform pamoja nyimbo zao mbili. Ni jambo ambalo liliweza kusisimua hisia za mashabiki na washikadau mbalimbali katika sanaa ya mziki. Je ilikuaje mpaka wakapanda jukwaani kwa pamoja? Hivi ina maana wawili hawa wametupilia mbali tofauti zao? Je ile kiu ya mashabiki ya kutamani kazi nyengine ya pamoja kutoka kwa wwili hawa huenda ikatoshelezwa? Wasanii hawo wawili waliweza kuzungumza kwa kina na Kelvin Jilani /Mtu Bei na kuweza kufungua kwa kina kuhusu maswali haya katika mahojiano yao >>HAPA

Comments
Post a Comment