Dogo Richy Na Shyman Warushiana Maneno Mazito Kuhusu Beef Yao.
Mapema mwaka huu, hitmaker wa Yoyoba, Dogo Richy alianzisha label yake, RICLAM ENTERTAINMENT ambaye alisema ya kwamba ameianzishwa kwa nia ya kukuza wasanii ambao wana kipaji ila hawajaweza kutoka na wasanii alioanza kuwa,sign walikua Batengo na Shyman.
Lakini baadaye label hio ilionekana ni kama imekufa vile, kwa sababu hakuna kilichokua kinaskika kutoka kambi hio. Baadae ilisemekana ya kwamba Batengo na Shyman walikua wametimuliwa kutoka label hio, kisa? Kulingana na Dogo Richy, ni kwamba wawili hao walipata umaarufu kidogo na wakaanza kuvimba kichwa, haswaa Shyman alipopata airplay kidogo baada ya kuachia wimbo wa TULIA ambao kulingana na Richy, yeye ndio aliutunga wimbo huo na Shyman aliuachia hata bila idhini yake. Dogo Richy amefunguka mengi mazito kuhusu kutibuana kwake na Shyman >> HAPA
Kwa upande wake naye Shyman amefunguka na kusema ya kukana madai ya yeye kuvimba kichwwa na kukataa kua wimbo huo ulitungwa na Dogo Richy. Kulingana na Shyman, Dogo Richy alichangia tu katika idea za backup za wimbo na vipande kadha ambavyo hata vingine havikuwekwa katika finalcopy ya wimbo huu.....
'Idea ya TULIA ni yangu mwenyewe kwa sababu ni true story ya stori yangu na mkewe wangu ambaye tuliwahi kuachana na baadae nikakubali makosa yangu ndio tukrudiana so Dogo Richy kusema ya kua alitunga yeye wimbo huo hasemi ukweli.' Shyman amefungua.
Na kuhusu kusambaratika kwa uhusiano wake na Dogo Richy ambaye alim,block whatsapp baada ya kumtumia poster ya wimbo huo. Shyman amefunguka mengi mazito kwa undani hadi jinsi Dogo Richy haongeleshani na Producer wa wimbo huo, Producer Totti. Je ni kweli ni kwamba alivimba kichwa? Alitimuliwa RICLAM au alitoka. Kwani ni yapi yaliyojiri. Mskilize Shyman akifunguka >>HAPA

Comments
Post a Comment