GreenHouse Records Yatambulisha Msanii Mpya

Moja ya studio za mziki ambazo zimedumu sana mjini Mombasa ni studio za GreenHouse Records. Ni studio ambayo imezalisha na kukuza wasanii wengi tajika katika sanaa ya mziki happa pwani. Wasanii kama vile Susumila, Kidis, Nyota Ndogo, Chapatizo, Escobar ni baadhi ya wasanii tajika ambao wamepitia katika mikono ya studio hio ambayo kwa sasa ina wasanii wapya ambao wameanza kuteka nyoyo za wengi kama vile Wasojali Band, Kelechi Africana na Dizzle Leo.
Studio hio ambayo imekua ikionyesha kulea vipaji kwa kiasi kikubwa  chini ya producer wa sasa Noizer wametambulisha tena msanii mpya kwa jina Stiv Adamz ambaye tayari ameachia track mpya kali kwa jina EVERYBODY DANCE ambayo unaweza kuipata>>HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele