Matonya Kufanya Haya Mjini Malindi Wikendi Hii
Matonya ni msanii ambaye alihit sana miaka ya nyuma kidogo. Japo kwa sasa
bado hajashika kasi sana lakini bado anatoa mziki mzuri na zile nyimbo zake za
kitambo tu bado zinapendwa kwa sana kwa style ya mziki wake ni tofauti na wa
sasa ambao hua una,hit kwa miezi kidogo tu na kupotea, ndio maana hata wengine
huuita 'bubblegum music'.
Wikendi hii, akiwa na msanii kutoka Mombasa, Paneli ambaye amehamisha makao yake nchini Italy ila ailitua nchini wikendi iliyopita atakua ana,shoot video ya collabo yao mjini Malindi.Video hio ya wimbo TEMPARATURE, itakua inaandaliwa kiaina chini ya uongozajiwa wa director maarufu, Johnson Kyalo ambaye ametayarisha video kama vile Mapepe ya Susumila na KingKaka na video zengine nyingi. Utayarishaji wa video hio utakua unafanyika katika tamasha event ambayo Matonya, Paneli na Lil Mizee watakua anatumbuiza katika ukumbi wa WATAMU CLUB, usiku wa Disemba 17 na kiingilio itakua Kshs.300 tu!!

Comments
Post a Comment