MC Kimbo Ni Msanii Mkubwa Sana Na Hafai Kuishi Anavyoishi, Aeleza Timmy T Dat
Timmy T Dat ndio msanii ambaye kwa sasa ni 'hotcake' nchini Kenya. Ni msanii ambaye nyimbo zake kwa sasa zinahit na anapiga show nyingi za pesa ndefu. Tarehe mbili mwezi huu, alikua na show mjini Kilifi na kulingana na yeye, kama kawaida yake hua akifika 'mashinani' hua anafanya research na kujaribu kujua wasanii ambao wanashika na wanaweza katika eneo hilo.
Siku ya uzinduzi wa video mpya ya SudiBoy, Pascal Shanga wa kipindi cha Chachawiza, Bahari FM alikutana na Timmy katika launch ya video KIDONDA ya SudiBoy. Timmy alifunguka jinsi alivyoona uwezo mkubwa wa mziki alionao Kimbo lakini kile kinachomhuzunisha ni kwamba msanii huyo anaishi maisha ambayo hayapendezi kabisa.
'Nilisifiwa sana kwamba Kilifi kuna msanii anaitwa Kimbo na nkafanya bidii nkaonana naye sku iliyofuata. Kimbo ni star, hafai kuishi vile anavyoishi. Kusema kweli nilipenda uwezo wake na kuna kitu kitafanyika...sitasema kwa sasa but watch this space.' Timmy alisema. Sikiliza maongezi yake alifunguka kwa kina >>HAPA

Comments
Post a Comment