Mpenzi Mpya Wa SudiBoy Azungumzia Wimbo Wa SudiBoy Mpya Ambao Unaongelea Kuhusu Past Yake

Anaitwa Kashata, baiby baiby wa Sudiboy amefunguka na kusema kwamba yeye ndio alimskuma Sudiboy autoe wimbo wake wa "Kidonda" ambao unabeba ujumbe mzito kumhusu marehemu mkewe. Kulingana na Kashata ni kwamba Sudiboy alikua asharekodi wimbo huwo ila alikua anaghairi kuutoa huku akiwa bado anaonekana kupitia wakati mgumu wa kumpoteza mkewe mpendwa. Kulingana na Kashata ni kwamba wimbo huo ni kama mwanzo wa safari mpya wa Sudiboy huku akimtabiria makubwa chini ya management mpya aliyonayo kwa sasa.
'Unajua kila mtu ana past yake. He had the song but hakua anataka kuutoa but i told him, akiutoa ndio atakua relieved.'' Kashata aliyasema hayo katika mahojiano yake na Kelvin Jilani / Mtu Bei huku akiendelea kufunguza zaidi jinsi alivyochangia kuachiwa kwa wimbo huo na stori ya wimbo huo. Pata kuskiliza mazungumzo hayo >>HAPA

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele